Nakubaliana na ww ndugu yangu... na ukweli ni kwamba ukishaanza 30+ tu ndo kila kitu ulichofanya hapo awali kinajirudia kichwani haswa ukiwa bado upo katika hali ya kupambana..
Kikubwa ni tunatakiwa kukubaliana na hali tulizonazo kwa wakat huu na tusiingize vichwan mwetu vile tulivyovipoteza...
Hii ni mara yangu ya kwanza kupanda katika jukwaa hili la story of change nia na madhumuni sio tu kushindana ila kupaza sauti kwa jamii.
Jamii ni nini? Isikie nini? Chanzo chake nini? Na nini kifanyike? Huu n mgawanyo wa story yangu katika shindano hili la story of change 2023.
Jamii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.