Recent content by Mbuzi wa mjini

  1. M

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wadau naombeni mnijuze wapi napata mashati ya kiume kkoo
  2. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habarini wakuu anayejua chimbo la mashati ya kiume kkoo anisaidie
  3. M

    Natoka vipele baada ya kunyoa ndevu

    Tumia mafuta ya nazi yale mabichi utakuja kunishukuru baadae [emoji4]pia hayo mafuta yanapatikana kwangu
  4. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nauza mafuta ya nazi …extra virgin coconut oil kama uko interested njoo pm[emoji3060]
  5. M

    Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

    Mi natumia machine zile za kukamua mafuta so nakamua direct situmii hii njia zingne ila kama unataka kutengeneza nyumbani pia naweza nikakuelekeza njia mbadala
  6. M

    Nauza Extra virgin coconut oil/ cold pressed oil / mafuta ya nazi halisi

    Ukipakaa kwenye nywele yana stimulate ukuaji wa nywele katika sehemu husika
  7. M

    Nauza Extra virgin coconut oil/ cold pressed oil / mafuta ya nazi halisi

    [emoji254] Hutibu maambukizi ya fangasi [emoji254] Yanaotesha nywele [emoji254] Yanaondoa mba kichwani [emoji254] Mafuta bora zaidi kwa ngozi yako [emoji254] Yanalinda ngozi yako dhidi ya miale ya jua [emoji254] Yanatibu vidonda vya homa mdomoni [emoji254] Mafuta mazuri kwa ajili ya massage...
  8. M

    Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

    Mafuta mazuri ya nazi ni yale ambayo hajapita kwenye moto wala kuchemshwa kwa majina mengine yanaitwa extra virgin coconut oil au cold pressed oil na majina mengine….ni mazuri mno mm natengeneza na nayauza hayo mafuta makubwa ya mls 250 ni 10,000 na madogo mls 125 ni 5,000 tu.
Back
Top Bottom