Recent content by MBUTEGWANE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa rais: Mahakama za jadi tunaziomba kwani Wapagani tunaonewa

    Nimekuwa nikiona upande mmoja wa imani unataka kupendelewa na serikali ya kikwete kutaka wapewe mahakama ya kadhi.je na sisi wapagani mtatupatia mahakama zetu za jadi?kama ndoa itafungwa kijadi na sisi iamuliwe kijadi.pia mirathi nayo isimamiwe kijadi kwa sisi tusiokuwa na dini.huo ndio ushauri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Huyo ni mjinga atabaki kusema anaonewa......tanzania ni nchi isiyokuwa na dini....mkisharuhusu udini,mjue kwamba hata wasukuma nao wataomba warudishiwe utawala wao wa kijadi na watemi watambuliwe kisheria.pia serikali itambue kwamba wachawi wapo na uchawi upo hivyo kuwe na mahakama ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuition centre zafungiwa mjini Kahama

    Vituo vyote vinavyotoa huduma ya masomo ya ziada kwa watoto alimaarufu "tuition centre", vimefungiwa na mamlaka husika. Msako mkali ulifanyika huku kukiwa na polisi. Vijana waliohitimu kidato cha nne na sita ambao hawana ajira ya kudumu na kuamua kubuni njia mbadala ya kujipatia kipato, ndio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ni majaji au mahakimu?

    Napenda swali kuhusu swala la mh.lipumba kupigwa na polisi,je polisi kuwapa adhabu ya kuwapiga na kuwajeruhi raia,je sheria ya jeshi la polisi duniani linaruhusu?je polisi wanamamlaka kisheria kuwazuia wananchi kufanya mkutano au kuandamana?je polisi kuishi uraiani kwa mujibu wa sheria ya nchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Acheni siasa, Polisi wana ruhusa ya kupiga raia

    polisi na siasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Athari za profesor mhongo kufukuzwa kazi na bunge zaanza kuonekana

    Jamani hii ni hujuma kwani umeme mjini kahama unakatwa katwa hovyo bila taarifa ya TANESCO.au kuna mgao?na tatizo hili limeanza tangu mhongo katangaza kujiuzuru.mwenye taarifa na hili janga la umeme kukatakata hovyo tujuzane.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwigulu na Easter Bulaya

    police nao sikuhizi wanasiasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM imefilisika

    Chama cha mapinduzi kimefilisika kabisa kwa kukosa viongozi wazalendo ambao wataliongoza taifa hili kwa miaka kumi tena ijayo. Kwani viongozi waliopo hakuna msafi hata mmoja. Wezi hawana maadili na wadhulumaji wakubwa haki za jamii. Taifa limekuwa la wezi! Je nani msafi? Maana maccm nasikia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    Kwanini jeshi hili limekosa weredi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona hii, utakubaliana na mimi kuwa Magufuli siyo 'jembe'

    Wewe umekufa ubongo,mbona lowasa mnamwita jembe lipi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    jamani wana ukawa tuweni makini sana kwani kitendo alichofanyiwa mheshimiwa lipumba amezalilishwa sana.tumeona virungu vikitembea,tumeona akivutwa shati na kupigwa kirungu tena na afisa wa polisi.je hii ni haki?chanzo cha habari.ITV
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    yanayotokea hivi leo tanzania,kupigwa viongozi wa kisiasa na kuzalilishwa ni matokeo ya ukoloni wa watu weusi waliobadilishana na wakoloni weupe until 1961,vilevile ndiyo yaliyofanyika afrika kusini kwa madiba.tanzania haijapata uhuru wa kisiasa,hapa utaona watu wanazuiwa kufanya...
Back
Top Bottom