Recent content by Mbushi Dotto

  1. Mbushi Dotto

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Mheshimiwa Magufuli yuko sahihi kabisa. Hatuwezi kuwa na vilio viwilikwa wakati mmoja. Kuimarisha uzalishaji huku pDewsa zingine ziende kwa watu wenye kazi zao na vipato vyao ambao tuliwachanguwa kuwa wawakilishi wetu. Hivyo kama kweli wanaona posho na mishahara haitoshi. Waache kazi wafanye yao.
  2. Mbushi Dotto

    Transportation dealers.

    Ngunda transport. Inayotaarifa nzuri kwa uma hasa wafanyabiashara wanaosafirisha mizigo kutoka #DAR ES SALAAM Kwenda.... Igunga Nzega Kahama Tabora Shinyanga na Mwanza Kuwa wanakaribishwa. Hapo utakabidhi mzigo wako na kusafirisha salama na kwa haraka zaidi. Epuka makampuni yanayocherewesha...
  3. Mbushi Dotto

    Ngunda Transport: Tuko Kariako mtaa wa Narung'ombe

    Hapana sema ni njiam moja hivyo kama unamzigo unaoshuka singida, misigiri hata shelui naweza kuifanya hiyo kazi.
  4. Mbushi Dotto

    Mkikimkiki: Mdahalo wa elimu na afya kwa vyama vya siasa

    Kuna vyuo vingi sana vimeanzishwa nchin. Lakini cha kushangaza vijana wanaomaliza vyuo hivyo haviwasaid zaidi ya kuwapotezea mali na muda. nyie kama wanasiasa mnaopigani kushika dola ya tz mmejipangaje kuhakikisha vjana wanaohtim vyuo nchini wanapata ajira kulingana na taaruma zao.
  5. Mbushi Dotto

  6. Mbushi Dotto

    Ngunda Transport: Tuko Kariako mtaa wa Narung'ombe

    Tunasafirisha mizigo kwenda IGUNGA NZEGA KAHAMA SHINYANGA n.k.
Back
Top Bottom