Mkuu hiyo ilikua kipindi cha miaka ya Nyuma leo hii Mwinyi kaijenga Pemba na kunamaendeleo sana, CCM walikua hawapeleki Maendeleo pemba, Kingine viongozi wa Kizanzibar hawana Akili na mipango ya kimaendelo, Serikali ya Zanzibar haina dira ya Maendeleo yani wao ni kwenda kazini na kurudi...
CCM mtandao w
CCM mtandao walikua began kwa began na Mbowe ndiyo maana Samia alipo apishwa kua Raisi Mbowe akapoa hakawa hakosoi tena Serikali akalambishwa Asali, mfano Mbowe angekua Kiongozi wa Chadema mpaka sasa Chadema wangeshiriki uchaguzi. Ndiyo Maana Lissu alipowaambia Viongozi wa...
Mkuu hizo nafasi zimeweka kwaajili ya Makada wa CCM waliopitia umoja wa Vijana wa CCM ili kuwazibiti wapinzani awa ndiyo wanaamlisha Polisi kuvuluga mikutano ya ndani au ya nje ya wapinzani, Katiba mpya wanatakiwa waondolewe au kama zitakuwepo basi wachaguliwe na Wananchi.
Siyo MO tu hata GSM kwasasa timu zetu zilipofikia siyo wa kukosa udhamini kutoka kwenye makampuni makubwa ya vifaa vya michezo mfano Nike, Adidas, Puma lakini chakushangazi timu ndogo za Egypt, Morocco, Ghana, South Afrika zinatengenezewa jezi zao na Kampuni kubwa, nahisi hizi Viogozi...
Wao wanataka Mamlaka kamili ya Zanzibar wajiamulie mambo yao na siyo Mambo yao yaamuliwe na Tanganyika, Unajua kama October 29 Mtandao ulizimwa mpaka Zanzibar je sasa inahusika vipi na vurugu za Tanganyika yani mtu akimua tu leo ngoja niwazimie Umeme na Mtandao Zanzibar na anawazimia tu...
Kweli kule hakuna uhuru wa kujieleza kama Tanganyika yani kule Raia wachini kabisa muuza mihogo au Muuza kahawa akisubutu kuiongerea vibaya CCM tu anapotezwa. Kule nahisi wameiga mifumo ya nchi za kiarabu zinazotawaliwa kifalme, Nchi za Kiarabu zinazo tamale kifamilia hakuna uhuru wa kuhoji...
Mkuu Zanzibar kule wana mifumo yao ya kudili na wakosoaji wa CCM na Serikali yake ndiyo maana Kule Zanzibar CCM wana vikosi vyao vya Ulinzi vinaitwa Vikosi vya Serikali ya Mapunduzi Zanzibar wana vikosi vya aina tatu kuna KMKM, KVZ, JKU, Kikosi cha Kvz kina dili na Wapinzani wanaoikosoa...
Mtazamo wangu Mafia kama bado hakuja changanya unajua sehemu zenye jamii za kiswahili ni ngumu kufanya Biashara za Burudani tena ukute sehemu ambayo wageni hakuna kuna wenyeji %99
Mimi nimeishi kule Zanzibar miaka 10 tena nimeishi kwenye jamii yao kabisa nilipanga kwenye Nyumba psmoja na familia zao kwahiyo nawajua vizuri sana tabia zao mazuri yao na Mapungufu yao , Wale Maisha yao tofauti na sisi Watanganyika kuanzia kwenye maswala ya kitamaduni na kijamii, wale kule...
Ndiyo Maana Magufuli alipoona Mambo yazidi kuwa Magunu ikabidi aforesaid kuwanunua wa Bunge wa Upinzani na kuunga juhudi, Sasa huyu Mama anateka mpaka watoto wasiojua lolote.
We unawajua Mazombi kikosi kinaitwa Kvz kikosi cha valantee wana kombati sasa wewe ukienda Zanzibar jaribu kuikosoa CCM na Serikali yake halafu wakusikie CCM, Kingine unasema Wazanzibar wastaarabu mtu mstaarabu anaweza kutoa Ajira kwa vijana ambao wazazi wao ni CCM tu yani unamnyima kijana...
Hapana hajaiga kwa magufuli yeye kayatoa Zanzibar, Siasa Za Zanzibar we huzijui tu kule kugumu yani kule ukiisema vibaya CCM una uliwa yani unafatwa yumbani unachukuliwa yani hapo umeisema CCM, Huku Tanganyika ni tofauti unaweza kwenda kwe Tawi la mtaa unaipoishi ukwaambia nyinyi Mafisadi wezi...
Mkuu
lazima watii Amri kutoka juu, Wananchi wanashangaa kuona Wanajeshi wanafanya dolia na wengi wapo Lindo sheli kule Zanzibar ndiyo mfumo wao unayoyaona yana endelea kufanywa na wana jeshi wetu ndiyo yanafanyika kule Zanzibar, Jiulize Hussein Mwinyi kashinda na hakuna vulugulu lakini...
Ni kweli watu walikua hofu ya kuongea lakini siyo watu wa ngazi za chini kabisa mbona kwenye vijiwe watu walikua wanaongea mitaani, watu walikua na hofu ya kuongea ni wale watu wakubwa lakini siyo wananchi wa chini, Mzee wanfu alikua anamsema vibaya Magufuli kisa hajaongeza pension tena alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.