Magufuli unaweza kumpinga kwa mengi ila hili la idadi watu wengi kuleta maendeleo anasema ukweli, Kumbuka China ni ya pili kiuchumi duniani hiyo dunia ya tatu ya china ni ipi
Huyo Russel mnalea kwa kumpa masifa na hizo triple double zake hata coach wao leo ndio anastuka kusema the ball has to move more, mtu ana attemp 42 shots anaondoka na 51 points halafu tumsifie he needs to share that friend of him as he previous say.
Another issue OKCs are very Big in the paint...
Mchawi ni Russel mwenyewe jamaa anapenda ISO ball tofauti na madevu ambae ni mzuri kwenye pick and roll ndio maana unawaona Rockets wameimprove ila OKC wanategemea Isolation za Russel afanye miujiza au akupe mpira zimebaki chini ya sekunde 5 aongeze assist Udhaifu mwingine wa Russel jamaa ni...
Wesbrook bana triple double zimempaisha lakini yeye kucheza kama team bado sana sijui kama series itafika hata game 6 maana madevu leo alikua sio mtu wa mchezo mchezo
Its true but OKC weakness is Russel uhitaji wake mkubwa wa spotlight haujaisaidia timu in general sasa wewe guard 6'3 unamzidi rebound Steve Adam unataka Steve Adam afanye nini kwenye paint ukimkaba Russel vizuri akishapanic basi umewaweza OKC labda Rockets wamkosee ambapo sidhani kama watafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.