wewe ndio umepotea,zzk kafanya usaliti upi?unauthibitisho gani kama anatumiwa na ccm?thibitisha.tatizo cdm mnapenda kutumia nguvu na sio nguvu ya hoja.zzk anawashinda kwa nguvu ya hoja.
tatizo cdm hamtaki ukweli.zito anafaa huyo mbowe amewahi kuibua hoja gani ya msingi?kazi kukusanya pesa kwenye mikutano ya hadhara.zito anafaa sana mie ni cdm na ninamkubali sana zito kabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.