Hawa viongozi wanaona fahari kuwapa wenzao kesi ila watambue huyo jiwe anaewapa jeuli muda wake utaitaisha itakuwa ni zamu yao na wao kupewa kesi za uhujumu uchumi. Mwenyezi mungu huanza malipo hapa hapa duniani kabla ya kesho akhela.
Jiwe moyo wake una vyuma hivyo daktari kamshauli asisafiri na ndege mara kwa mara na lingine pia Lugha ya malkia ni shida jamani muoneeni huruma ndio maana ana msongo wa mawazo.
Duh jiwe leo kakubali kusoma alichoandikiwa tena kwa kufatisha vidole hiyo hata mwamangu ma darasa la 2 ukimsimasha hapo anahutubia kwa kusoma aibu sana inalikumba taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.