Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli? Kama mtu anajua...
hahahah wazandiki hapo umeniacha mbali. lakini ni nini kinamfanya binadamu kutokuwa na haya kula na kudanganya watu na kuharibu familia za watu kwa kutumia jina la yesu .. ili ajaze mavi choo?
Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.