Recent content by mbua5

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bulembo, kwanini unapenda majibizano yasiyo na tija kwa CCM wala Tanzania yetu?

    Kweli kabisa hajengi bali ana haribu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais TLP: CCM huu mwaka ni lazima itoke

    Gharama ya kuleta mwenge na gharama ya kujenga choo cha shule ipi zaidi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    Kama masiara hayawi hayawi sasa yatakuwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    Kawaida siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza ccm safari hii imejipanga kuanguka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Aliyeweka huu uzi utupe hitimisho,maana kikwete alikuwa raisi muislamu lakini hakutetea maslahi ya waislamu,atuambie tumchague nani na atupe sababu tujue maana huenda sisi wengine ni vipofu hatuoni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Hayo ni maneno ya wana siasa kama kusemwa yalisemwa mengi lakini jahazi linasonga kura yangu kwa lowasa hata iwe vipi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Hii amani tuliyonayo tumepewa na Mungu kama zawadi na sisi watanzania ni ndugu hakuna swala la udini litakalopata nafasi kwenye nchi yetu hata iwe vipi tumejengwa kwa misingi ya hofu ya Mungu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    October 25 ndo itatupa ukweli
Back
Top Bottom