Recent content by mbozimbozi kumwitu

  1. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Ndugu hii nchi Kuna mambo mengi sana yanatokea ambayo yanaichafua nchi lkn sijawahi kusikia rais msitafu anasema
  2. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uongozi Bora

    Mmmh
  3. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uongozi Bora

    Kazi ilikuwa kazi kwelkwel, ukitaka kuongoza viongozi wa kitanzania sio kuwachekea, ni kuwaburuta kwelkwel maana Huwa hawajui wajibu wao kwa wananchi.
  4. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Bagamoyo ninayoifaham mm au
  5. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Mwamba kama mwamba Magufuli

    Mungu mwema siku zote
  6. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Mwamba kama mwamba Magufuli

    Mungu huyu jamani
  7. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Mwamba kama mwamba Magufuli

    Kwa kweli
  8. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Mwamba kama mwamba Magufuli

    Huko uliko mungu aendelee kukuweka,tulishindwa kukuelewa kipindi kile lkn kwa Sasa tungekuelewa vinzuri,endelea kupumzika kwa aman,kazi ulifanya.
  9. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Huuuu msitari wa mwisho ndio umeandika ujinga "tutegemee kuwa na Taifa Stars mbovu. "Timu ya taifa haijawahi kuwa timu tishio hata siku moja ni mbovu tena sana.je tutegee Lin wakt tunajua ni mbovu
  10. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Polepole njoo uchangie b 100 kwajr ya kampeni na sijui mabas wamepata wap?
  11. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Zitto: Polepole siyo mzalendo, ni mmoja wa kuzorota kwa demokrasia nchini

    Subri utapata majibu kutoka kwa polepole.
Back
Top Bottom