Recent content by mbosia

  1. M

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Niliwahi kusikia kuna kitu kinaitwa "NATURAL JUSTICE" sasa hii imekaaje ? Mtu alalamike kuwa NIMEDHALILISHWA , mtu huyo huyo ASIKILIZE lalamiko lake , na kisha mtu huyo huyo ATOE HUKUMU ya shauri lake . Mimi sijui sheria nauliza tu HII IMEKAAJE ???????. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mume wa mtu ananitesa

    Hugo ni mungu Baali nk, siyo MUNGU huyu tunayemuabudu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Swali kwa Mhe. Rais: Umesema kila Mbunge wa jimbo afanyie mikutano kwenye jimbo lake je Bashiri Ally na Hamphery Polepole ni wabunge wa jimbo gani?

    Pia kina KUB, na mawziri vivuli ambao wako kikatiba. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Rais Magufuli Vs Kikwete baada ya miaka 3 kumalizika

    Mzee Mwinyi unamuacha wapi ?? Mtendeeni haki jamani.
  5. M

    Dar: RC Makonda alipongeza Jeshi la Polisi kusimamia uchaguzi vizuri. Awaandalia sherehe ya Polisi Family Day

    Kifaa chako unachotumia ndicho hakifungui mbona inafunguka vizuru tuu.
  6. M

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda jiuzulu

    Aaah kumbe kweli eeh. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda jiuzulu

    Aaah kumbe ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Haitapunguza umaskini wa Wagogo bali itarahisisha Wagogo kusukumwa nje ya jiji na kuwapisha wageni (wenye uwezo kukaa jijini) kama vile Wazaramo wlivyopisha Kariakoo ,Wamasai walivyopisha Arusha na Wasafwa walivyopisha Mbeya NK.
  9. M

    Rais kuambatana na CDF, CJ , IGP , DG-TISS na wakuu kila tukio kunadumaza kazi zao

    Nakumbuka miaka ya mwisho ya 1980 na mwanzo ya 1990 Rais wa Kenya D. A. MOI alikuwa akisafiri na baraza lake lote la mawaziri. Nini ilikuwa kilikuwa kinamsukuma kufanya hivyo ??? (Akili mu kichwa).
  10. M

    Mkapa: Watasema nalalamika lakini na mimi ni raia nina haki

    Bahati yake ni Rahisi Msifu vinginevyo angeitwa lile jina maarufu la zama hizi !!!!!!!??!!!???
Back
Top Bottom