Oook kumbe wapo watu wamepata tayar KAZI tiaraei
Kama.ndo Yale mbona wameongezea sana idadi tofauti na nafasi walizotangaza mwanzoni
Kumbe Kuna uwezekano mkubwa HATA TMOS' WAKACHUKULIWA ZAIDI YA 206.
Sawa nashukuru sana kwa ushauri
Ila kwakuwa sasa TRA ndo wameanza kuajiri wao wenyewe je? Huzani Kwamba wanaweza wakatumia cumulative methods ya Kupata wastani wa ufaulu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.