Huko Rorya sindio nimesikia mpiga Ngumi maarufu Nchini Maugo atagombea ....... haha hha hahaha yenyewe kuzaliwa tu tanzania ni miongoni mwa maajabu ya Dunia..
Yeah, ni KIONGOZI Mzuri but very UNETHICAL... SIJUI KAMA NCHI YETU ILIVYO SASA tunahitaji UNETHICAL Leaders ambao watalalia upande mmoja --- kunufaisha Wachache...
Hauwezi kusema UNETHICAL LEADER can change...
Na nchi yetu kwa sasa inahitaji CLEAN leader ili aweze kugawa hizo MALI tulizonazo...
Lowassa akerwa na uzushi wa gazeti
Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zitto Kabwe katika kile gazeti hilo kilichodai mikakati ya siri dhidi ya Chadema.
Habari hizo ni...
Lowassa sio mwizi wamiliki wa Richmond wanajulikana na pia kampuni ya Richmond,ndo ile ya Dowans na sasa ni Symbion ambayo ilizinduliwa obama Kwa mbwembwe nyingi sana je Ufisadi wa Lowassa upo wapi hapo
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu na familia yangu pia
1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini na walala hoi wapo University...
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja na familia yangu yote
1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University .
2...
Ni karibu miezi 32 sasa, Edward Lowassa amekuwa agenda kuu ndani ya CCM na wanaccm wenyewe, si mwenyekiti wala mjumbe wote mioyo yao ni Lowasa tu, wengi wakitaka ajipambanue nakuwa nyota huru ya chama na wachache walio juu ya chama wakitaka kumpoteza kisiasa gwiji huyu wa siasa za ukwasi na...
Huyu jamaani nitaira kweli
Jibu ni, alivyokuwa waziri anaye simamia kitengo cha maafa. alitumia madaraka yake hayo vibaya kujibebea misaada ya aina mbalimbali kutoka kwenye mashirika, taasisi na wasamalia wema waliotoa misaada yao kwa waanga wa majanga yale ya mvua za elnino.
Cheap talk, ni...
:A S-alert1::A S-alert1: Baba mzazi wa mbunge mteule wa jimbo la chalinze na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mzee Jakaya Kikwete ameingia kwenye kashfa kubwa ya kughushi shahada ya mpiga kura, mzee Kikwete mwaka 2010 alipigia kura jijini dar es salaam na juzi jumapili amepigia kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.