Recent content by mBONEASenior

  1. mBONEASenior

    TANESCO wakata umeme mbele ya Mkutano wa Rais, Kilimanjaro

    Kabisa yan. Wameshaanza wizi maana hawamuogopi ndicho kinacho translate
  2. mBONEASenior

    Rais gani atakuja kumaliza tatizo sugu la mgao wa Umeme?

    Wangeruhusu hili swala la private sectors kuuza umeme, bwana Elon Musk angesababisha serikali ilale njaa maana hakuna mtu angeenda funga umeme wa Tanesco nyumbani kwake wakati wa Tesla hautokatika hata iweje
  3. mBONEASenior

    TANESCO wakata umeme mbele ya Mkutano wa Rais, Kilimanjaro

    Tena Putin akichukua ndo maisha yatakua bata hatare. Madini yote tutayapeleka kwake na sisi tutapata umeme ambao haukatiki na mabando nafuu kama yote. Ajira zitakuwepo kama zote maana miundombinu atahitaji kuiboresha kama nchi yake. Yule jamaa ni mtu mwenye roho nzuri sana watu wahajui tu. Iyo...
  4. mBONEASenior

    TANESCO wakata umeme mbele ya Mkutano wa Rais, Kilimanjaro

    Hii nchi achukue Elon Musk tu ndo maisha yatakua rahisi. Ndo mana TANESCO na TCRA wanamuogopa huyu jamaa maana hela ambazo walikua wakizichuja na kusingizia wanakata umeme kisa maji yamepungua, zitakua zinaenda kihalali
  5. mBONEASenior

    Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

    Kweli kabisa. Tena sishauri kabisa waroto kuangalia anime zenye +12 maana izo ni hatari kwa maadili. Yeah tazama izo mm ninazo apa 1tb ya anime nimecheki zote mpaka zingine sizikumbuki majina. Kama hii One Piece ina 1000+ episodes ila ni kali kinoma.
  6. mBONEASenior

    Hizi ndio animation movies kali ambazo sio za kukosa

    Watu wengi wanashinfwa kutofautisha concepts za watoto na watu wazima. Mfano, animations nyingi zinalenga in between, kumaanisha zinatoa burudani kwa ajili ya familia nzima. ZA watoto ni kama Dora, etc Za wote ni kama Avatar the last airbender, Rango etc Za watu wazima ni kama The...
  7. mBONEASenior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Weak Hero Class 1 Link ya series WEAK HERO CLASS 1
  8. mBONEASenior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    😂 😂 😂
  9. mBONEASenior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna mnyama anaitwa REBOEN RICH ya 2022. Ni moto LINK Reborn Rich
  10. mBONEASenior

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    ukitaka udownload series nyingi za kikorea mwenyewe bila usumbufu ni wewe na sim au PC yako na bando lako, nenda website inaitwa KISSASIAN LINK: - https://kissasian.li/ RECOMMENDED 1. VINCENZO --- MOTO WA KUOTEA MBALI Vincenzo English Sub | KissAsian 2. CRASH LANDING ON YOU...
  11. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    CHAPTER 6 SHADOWS OF WATER The hunt was fierce than I expected! the very same day after I left Kinjekitile, I met foreigners travelling with a cross as if praising it. At first I wanted to go head-on and kill them all but something just told me to stay put. “Why are they carrying that huge...
  12. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    Hello! CHAPTER 6 NEXT ...
  13. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    shukrani sana! mzigo utaingilia jpili
  14. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  15. mBONEASenior

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Monica sio myenye kalio na sura mbovu. Uyo ni mwingine
Back
Top Bottom