Recent content by mbogora marelo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: NACTE March 2021 Intake. Je UCC (University Computer Center Dares salaam) inatosha?

    Unaruhusiwa kuomba kwenye vyuo vya serikali march intake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliosoma stashahada maalumu ya ualimu wa masomo ya sayansi kwa miaka 3

    Hata hiy ya WhatsApp nipe tu takutaft
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waliosoma stashahada maalumu ya ualimu wa masomo ya sayansi kwa miaka 3

    Kaka samahani me naitwa mbogora ni mwenyeji wa musoma nilikuwa na shida moja nikuulizie ya kuusu diploma ya ualimu no ang ni 0747118979 naomba unibip takupig kwenye hiyo no
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa wenye uelewa na hayo maombo

    Sawa ndg kila mtu anamapungufu yake , lakini kikubwa kama utakuwa umenielewa ni vzr ukanishauri cha kufanya kutokana na maelezo yangu ulioyoyasoma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa wenye uelewa na hayo maombo

    Shukurani ndg ang kwa ushauri wako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa wenye uelewa na hayo maombo

    Jamaa angu kwa kanda ya ziwa hamna ofisi za nacte maana Niko musoma - mara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa wenye uelewa na hayo maombo

    Nilimalz form mwaka jana na matokeo Yang yalikuw hivi wana jf wezangu Physics-D Mathematics-C Chemistry-B Biology-B Civics-B Kisw-B English-C Geography-C History-C Nilikuwa na point 17 nilichaguliwa kusoma clinical medicine lakini nilikuwa nataka pharmacy nilienda kuriport chuo na nikaanza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Pharmacy lakini nilipangiwa kusoma Clinical Medicine. Naombeni Ushauri

    2019 nimemaliza kidato cha nne ni matoke yng yalikuw hay Physics-D Chemistry-B Biology-B Mathematics-C English-C Geography-C History-C Kiswahili-B Civics-B Nilichaguliwa diploma ya clinical medicine na tamisemi lakini me nilikuwa nataka kusoma pharmacy chuo kilipofunguliwa nilienda kuriport na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Pharmacy lakini nilipangiwa kusoma Clinical Medicine. Naombeni Ushauri

    Samahani ndg zangu Nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili Jambo. Mimi nimemaliza form four mwaka Jana nikawa nimechaguliwa chuo kwenda kusoma course ya clinical medicine na tamisemi na Malengo yangu ilikuwa kusoma pharmacy Nilienda chuo nikalipoti na nikafanyiwa usajili nikajua...
Back
Top Bottom