Recent content by mbishi wa wabishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

    sasa hapo ni kumkomoa mkeo au kuna sifa gani kuwa na small house labda kwa mfano? :shut-mouth:
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    All sweet user names are TAKEN what shall I do,lol... All in all shida yangu haihusiani na user name,so ningependa mnisaidie kwa shida yangu na si user Name pls,n by the way,sijakeketwa na sikuwa Bikra pindi naolewa na my previous sikuwa nakosa hamu,halafu, sina mahusiano nje ya ndoa yangu.wala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Hapana sijawahi kuota ndoto za aina hiyo,labda sikumbuki,pia nafanya kazi kama mama anavotakiwa,ingawa kwa wale wanawake wavivu wavivu wa kubandika makucha wataziona ni nyingi,ila kwa mimi nimezizoea tangu kwa mama yangu mzazi,na sikuolewa tu ili niolewe,niliolewa kwa kuwa nampenda sana mume...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Hapana jibu la yote,uzazi wa mpango natumia mbegu za mnyonyo tu,hayo masindano,sijui madawa wala vijiti sijawahi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Naamka,tunajiandaa na mume wangu,then kazini,na kazini sio busy kihiiivo,then home,napika hiyo jioni/usiku then nahakikisha shughuli zote zimemalizika then kulala full stop
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Babu mimi simbishii mume wangu,huwa nampa ila naona sasa mimi nakuwa nipo mbali sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Mume wangu nampenda sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa...
Back
Top Bottom