Recent content by mbingunikwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Doumbie aingie tukipata bao la pili, vinginevyo aingie dk 15 za mwisho
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAG Waonesha njia: Je EAGT wataifuata?

    Hadi muda huu hakuna dalili kuwa EAGT wataifuata njia waliyooneshwa na TAG ili waachilie mali zote na majengo yaliyochululiwa na wsliojimega toka EAGT!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa MAZAO CONNECT TANZANIA

    Nawashukuru sana! Tayari nimepata mwongozo na ni member tayari wa mazao connect Tanzania!
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAG Waonesha njia: Je EAGT wataifuata?

    Lakini mwenye business yake ni Mungu na makanisa ni nyenzo zake, kwa hiyo siyo vibaya kuachilia maana wote ni watoto wa Baba mmoja kama alivyosema askofu wa EAGT Mwakipesile, kwa hiyo macho yote na masikioyako kwake! Je ataifuta hiyo njia aliyooneshwa na TAG? ikizingstiwa yeye pia anadai mali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAG Waonesha njia: Je EAGT wataifuata?

    TAG wameonesha ukomavu wa kiroho kwa kuamua kuachilia na kusamehe mali zake ambazo mahakama ilikuwa imetoa uamuzi zirejeshwe TAG. Ifahamike kuwa EAGT pia ina mgogoro na makanisa mengi tu yaliyojimega toka EAGT yakienda na majengo na mali za EAGT. EAGT wamekuwa wakidai mali hizo na baadhi yake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Singida Black Stars 1-2 Simba Sports Club | 12:00 Jioni

    Akifanikiwa kulipa fadhila kuna bahasha ya kaki ya pongezi! Lakini kugawa pointi sita kwa mfadhili kuko pale pale!
  7. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 4-1 Coastal Union | Ligi Kuu NBC | KMC Complex | Yanga yaendeleza vichapo

    Ushauri kwa kijana wa zamani Shalulile: Tafuta vya kuchinja, vya kunyonga ulibahatisha tu, havipatikani kila siku! Ona sasa hadi unarudishwa benchi bado unasubiria vya kunyonga! Huoni wenzio wanavyochinja! Shauri yako, siku wananchi wamekosa uvumilivu usiseme sikukuambia!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa MAZAO CONNECT TANZANIA

    Bado naomba anayefahamu utaratibu wa kujiunga na mazao connect hapa nchini au anioe mawasiliano ya Fauster Mundunde ambaye ndiye mrstibu wa mazao connect.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Kwa kifupi hajafunguka kueleza nini hasa baba alikuwa anawafanyia. Kwa maelezo yake naona baba yake alikuwa mlezi mzuri tu. Tatizo liko kwa mtoto kuona kuwa baba anawanyima uhuru!! Huo uhuru alikuwa anaitaka ili autumieje? Kuna watu wakishakuwa watu wazima huwalaumu na kuwalaani sana wazazi wao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kusajili mshambuliaji kutoka mali ni sawa na kuingia msituni kuvua samaki!

    Hapa bongo kuna timu moja tu bora nayo ni SIMBA! NAdiyo maana inatuuma kusajili toka Sasa Diarra naye mchezaji wa kusema ni mchezaji? Diarra na Doumbia wako daraja moja tu! Ndio maana nilisema labda Doumbia angewafaa wananchi maana wana sampling yake na wameridhika naye!! Kwa Simba lazima...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa MAZAO CONNECT TANZANIA

    Asante! Ulishawahi kusikia msemo usemao "nyani halioni kundule"? Bado nahitaji kwa anayefahamu anifahamishe utaratibu wa kujiunga na mnyororo wa mazao kwenye mazao connect Tanzania.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

    Ok!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa MAZAO CONNECT TANZANIA

    Ninaomba kuelekezwa namna ya kujiunga kwenye mnyororo wa mazao connect unaotangazwa sana na FAUSTER MNDUNDE. Kwa anayejua namba ya Fauster Mndunde nitashukuru akiniwekea hapa. Asanteni sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusajili mshambuliaji kutoka mali ni sawa na kuingia msituni kuvua samaki!

    Doumbia labda angewafaa yanga!
Back
Top Bottom