Recent content by mbilitanotano

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watu 178 tuliitwa kuripoti kazini VETA Dodoma, Februari 14, 2026, mpaka sasa hatujapangiwa vituo

    Hamlipwi mshahara na serikali kwani ? Kiwa na shukrani acha malalamishi dogo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Binti chawa Jokate Mwegelo amelamba cheo gani ?

    Binti wakati ameshakojozwa na kuzalishwa na mwanaume ambaye anamficha hataki ajulikane malaya yule ? Ptuuuuuh !!!! Wewe sema Mmama ... .... .. inatosha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni Baraza la matumaini na kukidhi matarajio ya watanzania Wote. Neema yaja Kitambo Kidogo

    Huwa ninachukia sana anachoandika huyu mtu, Ninaombeni mnisaidie jinsi ya kuignore andiko lake lolote humu jamii forums, ili nisiwe ninaona kitu chochote anachoandika iwe uzi, iwe komenti iwe emoji 🙏
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Kwani ukiwa mkweli unapata hasara gani ? Huyu ni kwamba ni dogo anayetaka kuanza kusoma hiyo kozi. Kwa hiyo anapambana kutafuta habari zimsaidie yeye akasome hiyo kazi lakini hajaanza hata kuisoma kabisa. Inaelekea kama atapata admission ataanza kozi mwaka huu November. Sasa Hata admission...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Anazingua kabisa huyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

    Jeshi ambalo askari wake wengi sio wazalendo wa nchi na wamewaachia CCM kutapanya mali za nchi jeshi gani ? Marekani wana Rais wa 47 hawajampatia demu akalie kile kiti, sisi rais wa 5B na sita tuu demu ! Halafu mijitu ilivyo mijinga eti oktoba tunatiki 😳😳😳😳😳 hivi sisi Tuna akili kweli ? Sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Jamaa acha izo. Yani mwaka jana ulihitimu kidato cha nne, mwaka huu umeomba mikopo ya diploma HESLB, mwaka huu umeshahitimu kozi hiyo na unaomba mahala pa kujitolea ! Acha ujanja kaka. Rejea humu : 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nimemaliza-form-4-mwaka-jana-nina-division-2-20.2356240/...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa hiyo waliosoma QT na PC ambao hawapati vyeti vya kuhitimu shule, ila sifa zingine wanazo mfano umri, afya n.k nafasi za JKT, JWTZ, PT, Uhamiaji, MT n.k haziwahusu wasijisumbue kabisa au ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Huenda ana uhakika kama ndugu yetu Mchinox
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa, na badae jeshi likija kufanya usaili, utatoboa Kihangaiko kama huna mbanga, pesa ya kuhonga wala taaluma pendwa na jeshi ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahaaah nibariki na mimi nikalinde mipaka ya nchi yetu ndugu niyatendee haki Maisha yangu hapa duniani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ronja kali sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ni kweli. Afande Kanari Myala bana? Eti bomu likitupwa watu wasikimbie bali walikumbatie 🤣🤣🤣🤣 anapenda sana jeshi yule
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahaaah sawa. Vipi lakini wamejaaliwa baadhi yao kukidhi vigezo na kusailiwa ?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa nini kaka ? Nidadavulie hapo.
Back
Top Bottom