Madadiliko haikuwa kauli mbiu ya CCM mmechotwa na upepo wa mabadiliko hivyo ilivyo kuwa Vita ya uganda majeshi yetu yalisaidiwa sana na majeshi ya uganda na nduli akatoka. hivyo tunajua wako wengi ndani ya CCM watatusaidia katika hili.
Mtaji wa ugonjwa wenzako wameachana nao, maana hauisaidii CCM kuna lundo na wanaCCM walionekana kwa babu wa Loliondo hivi ni wazima wale na report yao unayo. Hata kama atahudumia kwa siku moja kwenye nafasi ya urais inatosha na CCM wakaonja benchi na kutambua kuwa wa kuongoza ni utashi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.