Pole Faiza kwa kudhani kwamba kila mtu ni juha na asiyefuatilia.Maneno hayo kayasemea Ruvuma na sio kutuletea hotuba ya mwanza kuja kujaza server hapa. Nia yetu ni kuwajua watu wanaoharibu vijana wetu wewe unaleta biashara ya kupotezea hapa. Tunataka awataje na sheria ichukue mkondo wake
malumbano haya ni muhimu sana kwani mfumo wa chama kimoja uliwapumbaza watu na kuwaacha viongozi kama waamuzi wa kila kitu . Matokeo yake viongozi wakajisahau na matokeo ndio hapa nchi ilipofikia. Ila sasa viongozi watajirekebisha kwani malumbano haya yanarudisha uwezo wa wananchi kuelewa ukweli...
naamini mh mbunge ukweli unauma jibu kistaarabu tu na usitumie neno padri kwani unaonyesha kupoteza ustaarabu wako, kiri ukweli wa matatizo ya atu wako yaliyosemwa leo, kataza wabunge wenzako kuzomea nasiasa za ccm za kukushifiana muambiani ukweli hazina maana. tuwe na maridhiano na umoja wa...
anyway hizo siasa za kipumbavu walizianza ccm kwamba slaa kachukua mke wa mtu na ikashabikiwa sana na wanaccm mpaka viongozi leo kwa hamis mnashangaa nini? yaleyale ya bungeni ccm kuzomea wamekuja kwenye muswaada yamewakuta wanalalama. mkuki mtamu ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.