Recent content by Mberoyar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    🤣🤣🤣🤔 Mwenyewe nimeshangaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Hii siyo Live , kwanini wa record? Wangeacha ahojiwe live .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu George Masaju akemea na kuwaonya majaji na mahakimu wanaopindisha haki kwa maelezo kuwa ni "maelekezo toka juu". But, is he really serious?

    Huyo masaju ni Msabato wa kweli kweli, Amewahi kualikwa dhima nyingi ikuru siku ya SABATO na hakutokea, huyo anamaanisha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hotel for Sale at Kisutu

    Weka picha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Sana, jamaa kaansika kwakutumia ubongo wa kati. Hongera zake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Umeandika Kwa kutumia Akili kubwa Sana. True.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa siasa uchwara zimekithiri michezoni leo naomba Morroco waifungu taifa stars tano bila

    Ombi lako limejibiwa, na midia zote kimyaaa!🤣🤣
  8. M

    JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Kila jambo Lina mwisho wake hapa chini ya jua. MUNGU wetu ni mwema, hachelewi Wala haharakishwi. Very soon ataufanya jambo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunaokolewa kwa Imani sio kwa kufuata Sheria

    True! Ahsante Sana Kwa kuweka huu msisitizo na MUNGU akubariki.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Rais Magufuli akikosoa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    Tulipigwa pigo kubwa Sana kumkosa huyu mzee, any way yote tushukuru.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi makalio makubwa kama haya, huwa yana faida gani kitandani?

    Ni ushamba tu, hayasaidii chochote, ndio maana huwezi kuta miss anamakalio kama hya
Back
Top Bottom