Umbile la body yake inapendeza lakini sehekubwa ya gari hiyo ni plastic na baadhi ya bolt zake ,yakwangu niligundua hata Cylinder head yake ilikuwa plastic nikaamua kuiuza baada ya kuanza matatizo .
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.