Recent content by Mbelajr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Hongereni Vijana wa kamanda Magu,hakika thawabu yenu Ni kubwa.Tunaamini Katika uzalendo wenu uliotukuka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Katika awamu hii aliye na means na aelekee jiwe."Jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe kuu la pembeni".
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Tuna mashaka makubwa yenye USHAHIDI Kuhusu uchapishaji wa NOTI BoT

    Ahsante kwa taarifa,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubongo, Akili au Hisia?

    Wasiwasi Ni akili,nitarudi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC1 walikata matangazo ya LIVE, wakati mama Samia Suluhu akiongelea kilichotokea Foreign mpaka Naibu Waziri kutumbuliwa?

    Jamani Mimi sitii neno napita tu.Kikubwa tujenge hoja kizalendo na siyo kwa ushabiki wa kisiasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

    Wapinzani badilini muelekeo wa siasa zenu bila hivyo CCM itatawala kipindi kirefu bila kushindwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanyonge ni wakina nani ambao Rais Magufuli anahudumia?

    Wanyonge Ni watu wote wenye nguvu wakiwezeshwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Maendeleo hayana chama
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Leo tumeshuhudia uzinduzi wa Barabara ya juu yaani Flying over Tazara huu Ni muendelezo wa miradi mingi inayotekelezwa na uongozi wa serikali YETU ya awamu ya tano chini ya Rais Dk J.P.Magufuli.Tanzania kwa miaka mingi tumekuwa tukipiga kelele juu ya uwepo wa utashi wa kisiasa Katika serikali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu sii uchochezi? Wadai msimamo wa Rais Magufuli kupinga uzazi wa mpango utalitia umasikini bara lote zima la Afrika! Je, kuna ukweli wowote?

    Mkuu Pascal nimekusoma, maandiko matakatifu yanatuagiza tuzaliane na kuongezeka ili tuijaze Dunia.Tena baada ya kuijaza tuitawale. Lakini pia mahali Pengine maandiko yanatusisitizia Kila Jambo tulifanye kwa kiasi. Kupanga Ni kuchagua, Uzazi wa mpango Ni jukumu la wanafamilia. Rais wetu ametoa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtumbua Naibu Waziri Suzan Kolimba, Dkt. Ndumbaro aula

    Safari hii ukiteuliwa na Mheshimiwa hakuna kufanya sherehe mpaka siku ya kustaafu kwako.JPM kumbe Nchi ilipinda hii,Vichaa Wengi Wanahitajika kwa kweli.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo, utakulinda

    Hahaaaa mkuu ahsante kwa hoja zako ulizoziibua kwa njia ya maswali.Tumuombee TL afya yake iimarike arudi nyumbani tuje tulijenge Taifa kwa pamoja.
  13. M

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Mkuu tudadavulie sehemu ya nne,vitabu vyako hatuvijavipata.Uko juu zaidi ya Antenna
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, kama umeshindwa kumheshimu Rais Magufuli kwa dhamana yake basi mheshimu kwa umri wake

    Zitto asipuuzwe asaidiwe kufikiri.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo, utakulinda

    Wanabodi salaam! Neno uzalendo limekuwa likizungumzwa sana hasa na wanasiasa lakini hatupaswi tu kuwaachia watu wa tabaka moja kuzungumzia Jambo hili.Uzalendo NI zaidi ya UTAIFA,Kila Mtu ataungana na Mimi kwamba ukiachana na nchi yako uliyozaliwa hakuna nchi nyingine yoyote unayoweza kwenda...
Back
Top Bottom