Recent content by mbegunjema

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

    Kuna watu wengi sana wenye uwezo wanaishi kwa 'stahiri' za wasio na uwezo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

    Unafiki kama wanafiki wengine, wakati wa mijadala ya bajeti bungeni mbona hakusema?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Live ya kesi ya Lissu waliokuwa wanafuatilia ni zaidi ya watu 10K alafu live ya harambee ya CCM walikuwa watu 500

    Nilidhani umeweka ushahidi wa takwimu uliyotaja kwenye "kichwa" cha uzi wako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma hatuna deni na Mama

    Kutokuwa na deni haimanishi umejitosheleza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Huyu kijana mbana anateseka sana?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Ikiwa "Aliyeelekeza hajulikani, na aliyeelekezwa kalala"; kuna usahihi gani wa hayo yalizungumzwa na Prof.?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Yuda 1:4 (Biblia takatifu). kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo. ” Nakisaidia ujue maana ya 'kafiri
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kukurupuka kwa Serikali Kuanzishwa kwa Mitihani ya watumishi waliokazini

    Ala! Kumbe ana Phd? Mbona sasa katoa wazo la kiwango cha chini ya chekechekea? Anyang'anywe, basi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

    Wataishi kama watoto wakosefu waliomkosea mama yao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waumini wa Ufufuo na Uzima wakiendelea na Ibada kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki leo hii

    Katoliki wanatafuta kununua kesi
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Hayo ni maneno Heche, vipi kama hawajakupigia?
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuitisha Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtandao, Je ni njia ya kuwakwepa/ kuwaogopa Wajumbe?

    Ni mfano mzuri wa matumizi ya TEHAMA.
Back
Top Bottom