Kuna kaujinga fulan hivi ka wananchi wachache na wazembe kimapinduzi huna nguvu huna pesa huna dola hlf unanyoosha mdomo mwisho jnaanza kutia huruma aisee ebu ifike mahala mjitfakar wanaharakati wetu mtapotea kwa ujinga
Salaam zenu wanaJF,
Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru
Unajua kwasabb gani?
1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru
2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
Wazee gan anaosema? Pia hao wazee hata hiyo dini hawatuachia aache zake kila atavuna alichopanda awe mpole tu kwan haamini kama kuna malipo baada ya kifo?
Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin!
Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.