Recent content by MBEGU BORA

  1. MBEGU BORA

    DOKEZO Rais Samia, yanayotokea S/Sekondari Maji ya Chai inaonesha uhalisia wa shule nyingi za umma. Hadi leo Mwalimu wa Physics hajamaliza mada ya kwanza

    Bro unajua kuna walimu wangapi apo shuleni wa somo la physics? Kuna mikondo mingapi? Idadi ya wanafunzi? Kama yupo peke yake inabidi afundishe zaidi vidato vya mitihani kama cha pili na nne ili waweze kufaulu.
  2. MBEGU BORA

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Bro umeshinda, mwl jimmy afukuzwe kazi na sio kuhamishwa
  3. MBEGU BORA

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    We baba esther nn??? Nasimama kama mwalimu, mzazi na mlezi pia.
  4. MBEGU BORA

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Kaka wewe ni mwalimu?? Shule zote zina matron kwa mabweni ya watto wa kike na mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kwa wasichana hata iweje
  5. MBEGU BORA

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Wa mwisho kua nae ndo uyo uyo, kesi ya muuza mkaa iyo
  6. MBEGU BORA

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Mwl Jimmy katajwa kma sababu ya mwanafunz kutoroka shule kwenda kwa muuza mkaa?? Bado siamini, dogo anatafuta huruma kupitia kwa mwalimu
  7. MBEGU BORA

    Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Dogo kapangwa uyo aseme nni, kwa muuza mkaa alikua anafanya nn mpka chanzo kiwe kwa mwalimu??? Tunamsubiri mwl jimmy aongee
  8. MBEGU BORA

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Nahisi hata yule jamaa aliempiga ngumi kocha wa Mbeya city ni mjeda kabisaa
  9. MBEGU BORA

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Ila wachawi balaa, half time walikua wanafukua kitu golin
  10. MBEGU BORA

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Sio leo asee, championship ni zaid ya bundesliga labda baada ya miaka 5 ivi
  11. MBEGU BORA

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Bye bye, mnatusumbuaga sana simba
Back
Top Bottom