form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua owawa, mmoja kati ya waanzilishi...
Nan aijuaye kesho!!? Nan alijua leo Lowasa atakuwa chadema na Dr Slaa hatakuwa chadema?! Kesho n fumbo kubwa kwa mwanadam, tujadili ya leo na yanayoendelea kwenye nchi yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.