Recent content by Mbawaba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maharage

    Asante kiongozi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maharage

    Habari kiongozi, vipi kuhusu sumu za palizi zipi zinazofaa kwa kupalizi la maharage?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maharage

  4. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Yajayoo yanafurahisha tupo pamoja
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Mungu awaponye wagonjwa woote wanao sumbuliwa na Covid 19
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

    Hoja sio mshahara kupanda, hoja ni namna gan ifanyike kuondoa tatizo la ugumu wa maisha, maana kila mtu analia, mkulima analia na bei pia analia na masoko hakuna, gharama kubwa ya uendeshaji wa kilimo yaan ni shida tupu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    Tunataka Tamko la mkuluuu hakuna korona hahahahahahaaaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    watu tunakoelekea Mungu mwenyewe anajua, Likitoka hili lina rudi hili yaan ni baya juu ya baya hakuna hata mazurii
  9. M

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Hizo kadi au chanjo vinatolewa bila malipo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

    Nadhani ndio ndio zitakuwa nyingi kwa ajiri ya manufaa ya nchi yetu pendwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Ajitahidi aweke hata sauti ya mzazi akilalamikia michango kuongezeka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Hoja uliyoleta nzuri kwa ajiri ya maendeleo ya vija wetu mwisho umeharibu. Eti Yanga oyeee!!!sasa hao mawaziri ndo wanachama wa yanga!
Back
Top Bottom