Recent content by mbasi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza sana Sitta

    Someni kwanza katiba inayopendekezwa, sio kupiga kelele wakati hata kilichomo wengi hawakijui; Bendera fata upepo, ni tatizo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Jumamosi Arusha

    Maandamano hayo wajinga ndo waliwao, viongozi wala familia zao wanabaki home, alafu nyie bendera fata upepo mnavunjwa viuno. Tangulia wewe, hata huyo mbowe hatakuwepo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    mkuu mi naamini, we haujarogwa anza wewe kuandamana baadaye nasi tutakufata
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

    Du hao mapacha mi naona ni kazi, za kupeana. Pia kama wanafanana sana inakuaje inapokuja, kama kuna issue kaharibu mmoja wao, si watasakiziana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wakisakata rhumba mbele ya JK - Uzinduzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta

    upinzani sio vita, ndio maendeleo. ila taa ni muhimu ktk barabara hiyo
Back
Top Bottom