Recent content by mbarouk

  1. M

    The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

    Hongera sana Mwenyekiti kwa kuingia ndani ya jukwaa letu, Mi nafikiri umeweka hoja nzur ya kuwata watumiaji wa forum hii kuweka majina yao ya kweli, kwa mfano mi binafsi hilo ni jina langu, ila tu Mwenyekiti sipendi kukosoa ila nataka kuweka sawa hii ni fursa ya kutoa changamoto kwa wanajamii...
  2. M

    Migomo Chuo Kikuu cha Dodoma na Maslahi ya Wahadhiri & Wanafunzi

    mi nafikiri wanafunzi wa vyuoni hawatambuni jinsi ya kudai haki zao,yaan angalia udom wote kwenda kuandamana na kudai pesa zao tena kwa uongonzi wa chuo kwani uongozi ndio unatoa pesa za mikopo? hivi walishidwa kuwatumia viongozi wao wao wa chuo na kuwawakilisha katika madai yao au wakagoma...
  3. M

    Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    hivyo ni sawa kabisa,unajuwa tatizi la watanzania tunapenda kujadili mambo yanayo zidi vichwa vyetu.tayari PCCB wapo kazi,na si dhani kama interpol watalala,huyu liyumba yupo humu hum tanzania
  4. M

    Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    hivyo sawa,kabisa
  5. M

    Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    kimtazamo ni hivyo,lkn kumbuka tayari ana kashfa nyingi mtaani zina muandama,hivyo sio jambo la kushangaza.ila watampata tuuu
Back
Top Bottom