Recent content by mbarak4092

  1. M

    Kutoka Arusha: CCM waanza kuchochea udini wahanga wa BOMU mkutano wa CHADEMA

    Mimi naona bora mbadilishe katiba haraka sana, ili muunde Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar!
  2. M

    kumbe Madaraka ni bora kuliko uhai wa watu-viongozi wanasikitisha!!!

    Sasa na hapa sijuwi tuwaite wale FBI na Scort land yard !
  3. M

    Wazanzibar Wamshangaa Warioba kwa kupendekeza serikali tatu!

    Kuna wazanzibari na wazanzibara [ni wale vibaraka kutoka Dodoma] wanaona kana kwamba tonge sasa washanyang'anywa, sasa wamefadhaika hawajuwi watapata wapi ulaji,
  4. M

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Mimi nafikiria leo angelikuwepo baba yenu wa Taifa, na kukusikia unvyolonga angelekukwa lubango miaka 3, kwani yeye anaijua thamani anayopata Zanzibar, ndio maana leo Tushakwambieni MUUNGANO hatuutaki, lakini nyinyi mmebaki kunga'ngania, Zanzibar ni walimu na hivi Karibuni mtajuwa kitunguu maji...
  5. M

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Mimi naona Tanganyika ikitoka katika Muungano, Lazima itagawanyika, Ubaguzi, udini, kwani kila siku unasikia katika Tarifa za habari Mwanamume kampasua kichwa mkewe kwa panga, majambawazi yameingia kariakoo yameiba 100M, Kijiji fulani kimevami watu hamsini wameuliwa. Wazanzibari wamechoshwa na...
  6. M

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    mimi nafikiri Viongozi wetu waliopita wameongoza kwa mujibu wa Karne ileee, sasa wakati unabadilika inafaa nasi tubadilike, tutumie akili zetu pamoja na fikra zetu, huu Muungano wetu wamekaa Viongozi wawili Wakakubaliana mambo waliyokubaliana, na sasa ni wajibu wa kizazi kipya kukaa na kuangalia...
  7. M

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Wapeni Mamlaka yao utajuwa wanafaida gani Wazanzibari, Mbona hamjaweka kipengele cha anaetaka kuvunja muungano ruhuksa.
  8. M

    Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

    Yeye ndie aliyemwambia Membe atunge sheria ya NDOA ya JINSIA MOJA sio?
  9. M

    Alichokisema Ismail Jussa baada ya Tume kutoa Rasimu ya Katiba...

    Wazanzibari washakwambieni wao wanataka MAMLAKA KAMIL, maana yake wao wanataka nchi yao, na nyinyi mchukuwe nchi yenu, ili tugawane mbao.
  10. M

    Makamu wa Rais wa Zanzibar aibu tupu kwenye kampeni za udiwani Arusha na CUF yake

    Mimi nafikiria wenzetu bado mnaakil za Konyagi vichwani mwenu, kwani mnashindwa kujua alama za nyakati, huu Muungano ni makubaliano na ipofika mmoja wapo kuhisi kwake hauna tija basi hakuna shaka iposiku atauporomomowa, ikiwa kwa hiyari ama kwa Lazima, Lakini mjiiandae kwamba Wazanzibari...
  11. M

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Sasa Katiba ya Tanganyika itatengezwa lini? ama ndio hiyo? hahahahahah, kazi kweli kweli, ikiwa ni serikali tatu. sasa hapa ndio niliposema Think Tank hii inaiona Zanzibar Nachingwea, Zanzibar Kwanza kubembelezana baadae.
  12. M

    Maalim Seif Sharif ataka msaada wa kimataifa ili Zanzibar iwe huru!

    Unayo habari? Je umesahau? ni wazanzibari, wapenda nchi yao, wazalendo, wanaharakati, wana kindakindaki na wale wanaosema kwa yakini ya mioyo yao na kuthibitisha kwa vitendo vyao mapenzi makubwa ya nchi yao. Wale wanaoamini kwamba "vyovyote na iwe lakini Zanzibari ibaki huru yenye mamlaka yake...
  13. M

    CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

    unayo habari? Je umesahau? ni wazanzibari, wapenda nchi yao, wazalendo, wanaharakati, wana kindakindaki na wale wanaosema kwa yakini ya mioyo yao na kuthibitisha kwa vitendo vyao mapenzi makubwa ya nchi yao. Wale wanaoamini kwamba “vyovyote na iwe lakini Zanzibari ibaki huru yenye mamlaka yake...
  14. M

    Mambo ya kuzingatia katika kuendeleza taifa la Tanzania

    2.1 Katika kutekeleza shughuli za Muungano matatizo kadhaa yamejitokeza ambayo yamepelekea kuwepo zinazoitwa Kero za Muungano. Tatizo la siku za mwanzo kabisa la Muungano lilijitokeza mwaka 1965 wakati jambo jipya la Muungano lilipoongezwa katika orodha ya mambo ya Muungano; inaonyesha bila ya...
  15. M

    Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

    Nyerere alithubutu kumwita Kolimba na Malecela kama ni wahuni, kwahiyo Uhuni umejaa CCM na kwa kweli kama tutaendelea kuwa ndani ya utawala wao tujuwe nikuzama na wahuni hao wapo tayari kufanya lolote lile almuradi kupata maslahi yao, ikiwa kuuwa, kuiba, kufitini liwe lolote lile baya, muhimu...
Back
Top Bottom