Recent content by mbangi

  1. M

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    ahhh ungejua hata kuandika usingeandika kichapo wanacho pewa kwa siku tatu hizi hawana hata hamu na vita
  2. M

    Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

    Kuna mataifa ya kiarabu yanaishi vizur na ni marafiki wa israel. sasa jifanye adui ni shida mwanzo mwisho ndio hao iran.sasa mkuu unachagulia na siku nne unakufa utasema kweli mna nguvu nyie si afadhali na sadamu hussen wa iraki
  3. M

    Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

    Urusi hawez kuipiga israel hakika nakwambia.wale ni ndugu wa damu yaan baba na mtoto isipo kuwa baba anaushirika na marekani.hilo ndio urusi hapendi
  4. M

    Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    ndoto zina mambo inaweza vilevile ikawa kinyume.unaweza kuota ndoto lakin ukashindwa kuftasiri
  5. M

    Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
  6. M

    Utaratibu wa kugawa chakula usiku wa manane kwenye harusi haufai

    ahhh harusi za kimaskin shida tupu
  7. M

    Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

    Hebu tukuelimishe kidogo,yawezekana kichwa chako hakijafunguka.kufanya enterview sio mtihani.bali ni hatua ya kupunguza idadi ya watu ili kulingana na nafasi zilizopo.mfano nafasi ziko 40 walio omba ni 200. N a hapo tambua kuwa swali linaweza kuwepo hata ambalo hujalisomea ila linapima uelewa...
  8. M

    Hivi Hili ni mimi naliona kuhusu Dar au na wengne pia mnaona hivyo?

    we dogo rudi kijijini tunakutafuta huku vilimo vimeanza.sio kilimo kimeanza unaranda randa mijini kutwa nzima unaangaika na matako ya wanawake.Narudia tena kilimo kimeanza
  9. M

    Kamwe usimwamini Mwanamke, hata awe Dada yako wa tumbo moja

    Nimecheka kidogo.kahhh tumefika huku kweli
  10. M

    RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

    Kuomba ni swala la mficho.kwa lugha nyepesi tunasema ni faraga.kupiga picha sio ustarabu wakati mtu anaomba
  11. M

    Sababu za kiroho kwa nini unatakiwa kula mananasi kwa wingi kwenye msimu huu wa Mananasi

    Unaweza kuwa sahihi lakin unaenda haraka.hata mfano unaotoa unahitaji mfano zaid ili kuelewa zaidi.
  12. M

    Iran wawaambia Urusi kuwa ni wanafiki - Wamewaacha peke yao kwenye shida

    urusi na israel ni ndugu wa damu kama haujui.ila sio mshirika wake
  13. M

    Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

    wa kina iran tunawakataza hamtaki kusikia.yaan siku moja rada sote hazifanyi kazi je wangendelea si mnapigwa tu kiurahisi.
  14. M

    Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

    sijui huwa mnawachokoza wa nini.Kwa ufupi nchi ya israel ni nchi inayopenda vita.yaan vita kwao ndio maisha. na hii imeandikwa hata kwenye vitabu
  15. M

    Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

    Nilichoshangaa ndege zote kurudi sasa walikuwa wanashanga ndege hizo
Back
Top Bottom