Recent content by mbalisana

  1. mbalisana

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    shukrani sana. Nitaenda niulize. Ingawa vyangu vyote vilikuwa ni vyeti. Labda vipo vingi.
  2. mbalisana

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    huo utaratibu nimeshautumia mara nyingi. Baraza wanato statement of results ambayo bado sehemu nyingi ni tatizo. Na matangazo mengi ya kuitwa kwenye usahili wanasema hawataki statement of results.
  3. mbalisana

    Kumbe ulishazaa na mavirusi huenda unayo….!

    Wadanganyifu ni wengi! Ubinafsi umetujaa, tunaangalia leo tu,bila kufikiri huyu mwenzangu akijua itakuaje? Tunasahau dunia ni ndogo sana siri nyingi sio siri tena. Hofu ya Mungu imetutoka. Kwa uongo tunaua wengi. Mbaya sana.
  4. mbalisana

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    Vilipotelea chuoni UDSM mwaka 2007.
  5. mbalisana

    Msaada jamani. Natafuta vyeti.

    Nilipotelewa na vyeti vya shule. Olevel na Alevel. Nimejaribu kuvitafuta nileenda TCU nikaangalia database ya wanafunzi walioenda vyuo vya elimu ya juu,nikidhani huyu aliyevichukua kaamua kuvitumia sikufanikiwa. Natamani nipate vyeti vyangu, napata...
  6. mbalisana

    Mazingira ya mke na maono ya mama mzazi

    Story yako kama ya jirani yangu ila yeye aliyekuwa anaumwa alikuwa baba, baba alikomaa mpaka kijana akaoa nesi, baada ya miaka kidogo ikagundulika binti alidanganya kwamba mtoto anaekaa nae ni wa dadake kumbe ni wake ilileta mtikisiko kidogo katika ndoa yao, lakini bado wanaendelea kuishi...
  7. mbalisana

    Aibu kubwa

    Umenikumbusha nigerian movie moja (white hunters), nilihuzunika, nikacheka sijui ni upendo kweli...
  8. mbalisana

    Ukijutia kosa lako ntakusamehe!

    unaweza lazimishwa kukiri kosa lakini huwezi kulazimishwa kuomba msamaha au kujutia kosa,kujutia na kuomba msamaha kunatokana na wewe unajisikiaje kwa kile ulichokifanya.
  9. mbalisana

    Ukijutia kosa lako ntakusamehe!

    Huwezi kujuta na kukiri kwa jambo usilofanya, ila kama umefanya na wewe unaamini ni kosa ni muhimu kujutia hata usipokiri basi ujirekebishe. na kama umefanya na ukaamini kwamba sio kosa nitofauti ya mtazamo jaribu kumuelezea mwenzio kwa mapana kwanini huoni kama ni kosa.lakini utazame...
  10. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Fasouls na Mjanga ushauri wenu naupokea nusu,kwamba nampenda natakiwa kumsaidia kama atahitaji msaada. Pia nimeokoka nampenda Yesu, namtumainia Mungu mweza wa yote amuepushe na magonjwa na shida zote zitokanazo na ngono.zaidi ampoye na kumtoa katika maisha anayoishia sasa. Naamini nikwa Neema ya...
  11. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Pole sana MVUMBUZI, mume wangu ndani anapata kadri atakavyo,. nilifundishwa mwenye mamlaka juu ya mwili wangu ni mume wangu na sio mimi,nimelizingatia hilo muda wote wa ndoa yangu kwa furaha. lakini nje anakwenda, na sijui kwanini anafanya hayo
  12. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Nashukuru, tumeonge na ndugu,wazazi wake,washenga na marafiki wakaribu lakini hakuna mabadilikoviongozi wa dini alisema hataki hata kuwasikia maana dini kwake eti ni kiini macho tu. Ninawasiwasi sana juu yake maana hata huduma kwa familia sio kama mwanzo kidogo imepungua ingawa kipato chake...
  13. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Nashukuru sana TAMKO uliyosema yote nakubaliana nayo nilipoanza kuona matatizo nilijaribu kuongea nae,kumtii na kuwa mke na mama, mimi nimkritu nimeomba sana,nimefunga nimeongea na viongozi wa dini peke yangu maana yeye toka amenioa kanisani mwiko kwenda,nimemuomba anieleze tatizo ni nini...
  14. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Nilifahamiana nae miaka 4 kabla sijawa nae, tena kwa ukaribu mkubwa na sikuwahi kusikia wala kuhisi tatizo kwake. mpaka baada ya kukaa nae kwa muda,ila nimegundua kwamba ni msiri sana maana aliwahi zaa mtoto kabla hajawa na mimi hata wazazi na marafiki walikuwa hawafahamu. watu wa karibu nae...
  15. mbalisana

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    Nimekaa nae sana,mpaka wazazi wake wamekaa nae na kuuliza tatizo ni nini hasemi tatizo,nimemuomba anisamehe kama mimi ndo tatizo anambie nijirekebishe wapi anatulia siku mbili ananimbembeleza asubuhi jioni tukio lingine kubwa zaidi linatokea. nakumbuka kuna siku mpaka mamake kalia mbele yangu...
Back
Top Bottom