Recent content by mbalila

  1. mbalila

    Natufuta mtaalaam wa ufugaji samaki

    Nahitaji ushauri wa kitaalamu namna ya kuanzisha ufugaji samaki nyumbani asante sanaaa
  2. mbalila

    Nafasi ya kazi ya Maabara

    Nashukuru sanaa wana Jamii forum nimepata mtaalamu wa Maabara asnteni sanaaa
  3. mbalila

    Nafasi ya kazi ya Maabara

    Sorry ni Mtaalamu wa Maabara na siyo Mabata
  4. mbalila

    Nafasi ya kazi ya Maabara

    Anahitanika mtaalamu wa maabara ngazi ya certificate mhahala maelewano kituo cha kazi Kigamboni mawasiliano 0713214258
  5. mbalila

    Anhitajika pharmaceutical assistant na nurse attendant

    Nahitaji nurse attendant kituo Cha kazi Kigamboni na pia nahitaji pharmaceutical assistant kituo Cha kazi Zanzibar
  6. mbalila

    Naweza kupataje Medical Recommendation report ya Baba?

    Mgonjwa yupo nyumbani anatibiwa kienyeji halafu unataka morden medical report? Kweli? Naomba mpeleke mgonjwa hospital hapo utapata medical report bila hata usumbufu wowowte
  7. mbalila

    Nahitaji pharma tech mmoja wa certificate Kituo cha kazi Kigamboni

    Anahitajika pharma technician mwenye certificate wa kuuza pharmacy iliyopo Kigamboni. Mshahara ni makubaliano. Mwanyekuhitaji piga simu +255713214258.
  8. mbalila

    Naomba kujua dawa ya kuuwa kichuguu (mchwa)

    Naomba msaada kuna mchwa wamejenga chumbani ambayo inahatarisha uhai wa nyumba ni nyumba ya matofari ya kuchoma Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mbalila

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kero yangu kubwa ni nina miaka mitatu tangu niombe uwakala wa NMB , niliambiwa nifungue account mbili nikafungua lakini mpaka leo sijapata hiyo mashine mwanzo niliambiwa mashine zimeisha naomba kujua kuna tatizo gani asante Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mbalila

    Wafanyakazi wa Tigo wahukumiwa kwa kuwatapeli wateja na kujipatia fedha kidanganyifu

    Kifungo Cha nje , kweli Sheria ni msumeno ,mwizi wa kuku anafungwa jela lakini tapeli anafungwa kifungo chanje bila hata faini
Back
Top Bottom