Recent content by MBALANGU

  1. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    mbona uhakiki ushakwisha, Na mwezi Wa saba unaishilia ?
  2. M

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    kwenye taarifa za ukweli atujulishe, tusubilia uhamisho hadi tunachoka.
  3. M

    Poleni walimu

    hii ndio inaitwa kiswangilish. Kazi IPO. mshauri atumie lugha moja- english . asichanganye
  4. M

    Matokeo yangu ni haya lakini bado sijapata shule

    nadhani kuna walifuulu zaidi yako ktk comb ulizochagua. pia nafasi za A- level ni chache . wameachwa wengi mwaka huu, omba mungu upate second selection
  5. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    natafuta Mwalimu (msingi) Wa kubalidishana nae kituo cha kazi. Ambaye yuko Mwanza Jiji au ilemela na anataka kuhamia KAHAMA MJINI tuwasiliane 0763943241
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    KAHAMA - MWANZA. Natafuta mtu Wa kubadilisha nae kituo cha kazi. Anayetaka kuhama kutoka Mwanza mjini (nyamagana/ilemela) kwanda Kahama mjini tuwasiliane 0763 943 241
  7. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    KAHAMA - MWANZA. Mwalimu yuko halmashauri ya mji kahama anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mwanza NYAMAGANA/ ILEMELA. Anaetaka kuhamia kahama mjini kutoka mwanza mjini tuwasiliane
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuhamia kahama mjini kutoka mwanza mjini tuwasiliane
  9. M

    part time teacher.

    mi mwalimu wa book-keeping na commerce natafuta shule ya kufundisha muda wa ziada(part time), kwa shule zilizoko mwanza. Tuwasiliane kwa email hubertelieza@yahoo.com
  10. M

    Book-keeping

    wadau na wapenzi wa somo la bookkeeping naomba maoni yenu juu ya somo hili
  11. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    u umeshapata mtu, kama hujapata mi niko mwanza jiji (nyamagana) nahitaji ilala kama vipi nichek 0685030266.
  12. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    KUNA MWL SEC. YUKO JIJI LA MWANZA ANATAKA MTU WA KUBADILISHANA NAE KUTOKA DAR. Aliye tayari tuwasiliane
  13. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    a ANAYETAKA KUHAMIA MWANZA MJINI TOKA DAR TUWASILIANE 0685030266
  14. M

    Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    una elimu gani? je ulijua utaratibu wa vyuo? weka wazi kilichokukwamisha ushauriwe
Back
Top Bottom