Recent content by Mbakwaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Hakuna ulichoacha mkuu. I wish ungeiona mioyo ya uliowashauri. Na kwa neno lako naamini wameguswa. Kitu muhimu sana. Waache kucheza na maisha ya watu. Wanaolalamikia mishahara midogo wapo ila si wengi sana WVT. Ubaya mkubwa sana ni kikundi cha watu kinachocheza na maisha ya watu hasa kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Jina la meneja bora please?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Afu kuna zile ajira za magumashi zinazotangazwa halafu hawaajiri watu. Au wanatangaza nafasi ya mtu ambayo yupo mtu anatumikia the same post Hakuna waloandika kuhusu ajira ya facilitatiors wakati wameanza kuwaondoa wengine wenye vyeo hivyohivyo. Sema kidogo kuhusu hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Mahede vipi mbona husemi kuhusu matengenezo ya magari na matumizi ya ving'amuzi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    MahedeMkorofi hii ni habari mpya kabisa. Ya maboza nimeipenda
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    Nina tuswali tuwili tu 1. Carrying capacity yake please?? 2. Kuna tetesi kuwa hizi ndege zimelipiwa cash wakati wa manunuzi. Wakari wenzetu hukopa na kulipa tudogo tudogo. Sasa kama mbili ni cash inetumika. Si watupe nyongeza ya nyingine mbili kwa mkopo.?? 3. Ila sasa ni kama tunahitaji moja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Kuna jamaa alikuwa World Vision akajiuzulu baada ya kupata kazi UNDP akaenda UNDP akaanza kazi kule., jamaa wakamfuata wakamwongezea dau akarudi World Vision baada ya kukaa UNDP kama miezi 6. Aliporejea akapewa cheo cha Associate Director. Amepiga kazi kama miezi mitano baadae wakamretrech...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Natamani sana kujua hatua zilizochukuliwa hasa suala la ajira zinazotangazwa kila uchao. Nasikia unaweza ona tanzazo la position flani halafu baada ya miezi mitano hivi wanafanya restructuring wanaondoa ile nafasi wakati washakuajiri. Sasa kichaa chake ni pale unapokuta ulikotoka ulinyea kambi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uteuzi wa Wakuu wa Idara katika Halmashauri Nchini

    Hebu utaje huo mkoa na majina tuwajue na sisi kwa faida ya wasomaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na matamshi ya RC Paul Makonda

    Hawa wadau anaowateua fatherhouse namshauri aanzishe kakitengo JKT wapelekwe pale crash program japo week tatu Itapunguza mkurupuko
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uteuzi wa Wakuu wa Idara katika Halmashauri Nchini

    Mkuu wa nchi alianza unono kwenye ishu za uteuzi ila sasa wale wahusika haswaaa wanaofanya halmashauri zitekeleze malengo hajawagusa kabisa. Naona kama sasa ni wakati wa Mkuu wa kaya kuteua wakuu wa idara nchi nzima tena ila asiweke makada. Aweke watendaji. Nimemkumbushia tu. Napita hivi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Naona upo sahihi. Ila sasa miezi mitatu??? Hata housegirl wangu anawazidi job security tehe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    We bwana dunia haisimami. Nguo utanunua na nyumba ujenge. Ndo tofauti ya wewe uliyeoa na ambaye hajaoa. Nyumba zooote zilizopo mjini za wanaume wenzio huxioni hadi usimamishe dunia kisa unajenga?. Hapo nakushauri uongeze 1 hour extra time job ili kuongeza kipato upate za ujenzi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Hili lina ukweli. I can confirm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Uhondo umekata. Tupe jina la alozaaa bana. Mbona unaaamsha halafu unaishia kwa njia
Back
Top Bottom