Siku moja nilikuwa tegeta njia inayoelekea sokoni nyuki sasa pale ikiwa unatokea mwenge ndio barabara mbili zinaishia kwa hiyo kuna kama tuta fulani hivi lipo la kutenganisha barabara kutoka njia mbili kwenda njia moja kwangu mimi nikaona ndio sehemu salama kuvuka sababu ni rahisi kuvuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.