Recent content by Mbaga kovic

  1. M

    Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Miaka mitano ya ukandamizaji wa vyama vya upinzani ikiwezekana vife umekwama
  2. M

    GE2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

    Polepole tangu amekuwa katibu wa ccm Akili zake zimevia nilimdharau aliposhabikia Neno niyeye kwa nguvu kubwa Jamaa anazeeka vibaya
  3. M

    GE2020 Zitto aifuta CCM Kigoma

    Licha ya kufungia mikutano ya kisiasa kwa Miaka mitano Huku wenyewe ccm wakifanya Naona wamegonga mwamba Upinzani umezidi kuimarika
  4. M

    Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    TBC imekuwa haitoi matangazo ya haki Sawa kwa vyama vya upinzani hasa chadema kwa mda mrefu Nyinyi mmekuwa Kimya bila hata kukemea sasa leo mnaibuka na upuuzi ebu mtutokee hapa
  5. M

    GE2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Tangu lini TBC kikawa chomno cha umma wakati wanakwepa kutangaza habari za wapinzani
  6. M

    GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    Kali kuliko yote ni Sugu na Tulia kumbuka Sugu ndio aliyepata kura nyingi kuliko wabunge wote uchaguzi uliopita
  7. M

    Katika msimu huu wa uchaguzi mkuu, mitandao ya kijamii itafanya kazi kubwa kuliko traditional media

    Vyombo vya habari traditonal vya Tanzania haviwezi kutoa taarifa kwa mizani sawa mzee jiwe kaishavibana.
  8. M

    Magufuli hao wasaidizi wako huenda wanakudanganya. Hupendwi sana na Wananchi

    Hao wsnaojipendekeza kinafiki wanajua udhaifu wa jiwe wanajua ni mpenda sifa
Back
Top Bottom