Habari wana jamii!
Mimi ninataka kupata maoni ya wadau kuhusu report ya UN kuihusisha Tanzania na upitishaji wa silaha kwenda DRC, nimeiosma ile document kwa makini sana, kwa maoni yangu ninafikiri kwamba Serikali ingefanya uchunguzi kwanza wa watu waliohusishwa na sakata hilo kabla...