Kumbuka hapo nilikua na miaka zaidi ya minne navuta.. hiyo ya siku hiyo nadhani iliwekwa vitu zaidi ya ganja na nashukuru nikaacha na kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Cresida, Dah nimechekeka sana aisee kusoma jina la huyo mtu hapa.. nina wasiwasi kuna manzi mmoja maarufu sana humu lazima sabosabo alimliza.. maana kuna uzi mmoja tuliamua kukutana tuliokuwa dom tukasema tukutane waswanu pub pale uzunguni ofcz nlifika mm na huyo dada, jamaa hakutokea akawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.