Recent content by MBAANGASIMON

  1. MBAANGASIMON

    Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    Wadau kwa wale waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu siku kadhaa zilizopita kama kuna mtu ameshadownload au anaejua jinsi ya kupata join instructions ya chuo anisaidie. Kwa maelezo kutoka chuoni wapeniambia niingie kwenye website ya chuo au Nacte lkn nimeshondwa kabisa. Please mwenye...
  2. MBAANGASIMON

    Chadema waomba kupewa muda kuwasilisha rufaa upya jimbo la Longido

    HABARI ZA LEO. YAH: KESI YA UBUNGE LONGIDO. Baada ya rufaa ya kupinga kutenguliwa kwa matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Nangole (CHADEMA) kuondolewa na Mahakama ya rufaa tareh 31/8/2017, leo tareh 18/9/2017 Mrufani Mh Onesmo Nangole akiwakilishwa na Wakili *John Mallya*...
Back
Top Bottom