Recent content by Mbaambaa

  1. M

    ZANZIBAR: CUF yalifikisha Jeshi la Polisi Mahakamani

    Haki sawa ya kushtaki na kushtakiwa vilevile
  2. M

    Mbowe ang'ang'ania kiti cha Uenyekiti, Lowassa kuwa na cheo kama cha Zitto wa ACT

    Rudia kusoma ulichopost tena na tena ukielewa ufute maelezo yako usipoelewa basi tena hakuna namna ya kukusaidia ni vigumu sana ndo maana Rais wetu kila uchao nenoe vilaza halimtoki
  3. M

    Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

    Watanzania wakikuchoka kidogo tu shida. linganisha thamani ya hoja ya mtu na uijibu kama ilivyo huwezi siyo lazima uoneshe unampinga tu kwa vyovyote maana hata kama kuna zuri aliwahi kulifanya ukalipenda hukusema kitu nahisi ulinuna
  4. M

    Mwandishi wa Mwananchi Elias Msuya aitwa Polisi kuhojiwa kwa makala "Polisi na Hofu ya Watawala"

    Kuitwa police ili uhojiwe siyo shida, ila itategemea sasa aina ya mahojiano na haki
Back
Top Bottom