ZANZIBAR: CUF yalifikisha Jeshi la Polisi Mahakamani

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,735
22,433
Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, CUF, kimelifikisha mahakamani Jeshi la Polisi kwa madai ya kuwashikilia kinyume na taratibu maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa chama hicho.

Kati ya waliokamatwa yupo waziri wa zamani.
 
'kesi ya nyani hakimu tumbili'..
 
mi nahisi ni kesi ya mbwa koko ukaipeleka kwa jibwa koko..
lakini dunia itaelewa madhambi ambayo Serikali haramu ya CCM inavyoendeleza jinai kwa wananchi waliokichoka chama hicho cha utesaji na mauwaji.
 
Uzoefu unaonyesha katika nchii hii kwa sasa si rahisi kushinda kesi kubwa za uchaguzi hasa zinazogusa pamoja yake nafasi ya uraisi .ila kesi ndogo ndogo hasa zinazogusa personal intrest majaji wetu wanaweza kuzihukumu vizuri .labda mabadiliko yanaweza kutokea katika kesi kubwa za uchaguzi hapo baadae kama katiba itabadilishwa
 
Back
Top Bottom