Recent content by mazula

  1. M

    Madalali wa Arusha, nina kiwanja nauza

    hakina mgogoro kabisa
  2. M

    Madalali wa Arusha, nina kiwanja nauza

    Madalali ambao mpo arusha ninauza kiwanja Chenye Nyumba mbili za tope kipo Kisongo centre karibu kabisa na soko Mita kama 200 kutoka Barabara kuu ya Babati Arusha ukubwa ni 20*20 bei mil.10 maongezi yapo. Tuwasiliane 0764 759 314 Adelack Mazula nipo Mwanza
  3. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa kuzingatia Msingi wa Umoja

    jamani tifuatilie kauli butiku anamaanisha kitu"" ccm "" push neh
  4. M

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa kuzingatia Msingi wa Umoja

    jaji kamwaga vitu ni noma serekali ijipange
  5. M

    Edward Lowassa special thread

    Wajumbe wote wa vikao vya Maamuzi kwa kutii na kufuata kanuni za chama kufanya maamuzi kwa Utulivu maana ule wakati mabadiliko uliotabiriwa na Baba wa Taifa kuwa ukifika Basi mabadiliko tutayapata ndani ya CCM na tukikosa tutayapata nje ya ccm lakini ipo nafasi kubwa sana ya kuyapata Mabadiliko...
  6. M

    Yanayojiri bungeni Dodoma leo 08 Julai 2015

    sijui kesho kutatokea nini kuna thread nimeisoma inamuhusu membe na pm
  7. M

    Ukimwona mtu anapinga uundwaji wa Sheria ya Gesi na Mafuta muogope kama ukoma

    unafikiri kwa kutumia tumbo nin ila sio mbaya umeingiza siku wenzio watajiuzia vita vya gas we we utaachwa mtandaoni
  8. M

    Uandikisha wa BVR Igoma Mashariki (Kanda maalumu) ni mizengwe tupu

    ndio bvr yapili inaingia wananchi wana hoji ndio saambili waliotangaziwa
  9. M

    Uandikisha wa BVR Igoma Mashariki (Kanda maalumu) ni mizengwe tupu

    Uandikishaji wa BVR hapa Igoma kituo cha Zahanati umetia fora, zaidi ya watu 3000 wapo hapa mida hii ila mashine zipo 2 hazijafika kuna hali ya kutoelewana kati ya waandishi na waandikishwaji Leo wanadai wataandika watu mia tu. Wameita Polisi kwa msaada zaidi.
  10. M

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Arusha

    aliye tayari tuwasiliane
  11. M

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Arusha

    kiwanja chenye Nyumba mbili za tope kipo kisongo Arusha karibu na soko la kisongo mita 50 toka sokoni na mita 160 toka bara bara kuu iendayo Arusha mjini ukubwa 20*20 bei mill.10 mazungumzo yapo.tuwasiliane 0764 759 314 adelack mazula nipo mwanza
  12. M

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Arusha

    Kiwanja chenye Nyumba mbili za tope kipo Kisongo Arusha karibu na soko la Kisongo mita 50 toka sokoni na mita 160 toka barabara kuu iendayo Arusha mjini bei milioni 10 mazungumzo yapo. Tuwasiliane 0764 759 314 Adelack Mazula nipo Mwanza
Back
Top Bottom