Recent content by mazoya3

  1. mazoya3

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nina kitunguu maji heka moja na nusu natafuta mteja wakuu 0765741749 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mazoya3

    Biashara ya kitunguu

    Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mazoya3

    Biashara ya kitunguu

    Samahanini sana wakuu kama nilivyo anza kueleza apo awali kitunguu hichi bado mda wa mavuno naomba radhi kwa usumbufu ila mwisho wa mwezi huu nitaleta kila kinacho itajika kukamilisha biashara hii Asanteni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mazoya3

    Biashara ya kitunguu

    Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom