Recent content by mazimbu

  1. M

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Niliishi Mwembetogwa,Iringa...Nimesoma shule ya msingi Ilala 1988-1994. Wilolesi tulikuwa tunawinda sungura na pimbi
  2. M

    Tbc:tanapa makao makuu inanuka rushwa

    Kwa mujibu wa TBC1 Waziri Nyalandu amesema wafanyakazi wa TANAPA Makao Makao Makuu wanahusika na tuhuma za rushwa na wapo pale kwa ajili ya maslahi yao
  3. M

    Tfda tulidhani mmebadilika!!!!!!!!!!! Utumishi angalia hili

    Tatizo ni yeye kupata au kuna lingine?Kwa sababu naona kama alikuwa shortlisted ina maana wote mlikuwa mna equal chance za kupata.Pia nadhani kwa masomo ya kibongobongo mtu aliyemaliza mfano mwaka huu anakuwa azikubuka sana theories kuliko aliyemaliza miaka 2 au mmoja nyuma.
  4. M

    Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

    nna mil 10..unachukua?
  5. M

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Tulipofika ni pabaya sana.Mungu atuepushe na balaa hili
Back
Top Bottom