NINAVYOWAZA MIMI
1.kiwanja lilikuwa Cha mwanamke
2.mwanaume alikuwa na upendo sana kwa mke wake na hakujua ipo siku wataachana hivyo akajenga kwenye kiwanja cha mke wake ili waendelee kulisongesha.
3.Migogoro ilivyoanza mwanamke akaona mwanaume atafaidi hivyo Bora mali ziandikwe majina ya...
Sana kaka ni majonzi kwa wengi,Mimi nimejitolea kutoa hii taarifa kwa sababu kipindi Fulani tukiwa kwenye story za hapa na pale ndo nikamwambia kama nipo JF akanambia na yeye yupo na akanionesha hii ID yake,akanambia amepiga sana hela JF kipindi inaanzishwa hasa kwenye haya mambo ya...
Sana yaan zaidi ya sana pia alikuwa na mawazo chanya kwenye utafutaji wa pesa,amefanya mambo mengi ikiwemo ufundi wa simu,ufugaji wa samaki,operator wa mitambo viwandani hadi akapata ukiziwi,ameendesha vichwa vya treni kwa mkataba wa muda mfupi hapo hapo alishakuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi...
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.