Recent content by Maziku Mlalu

  1. M

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Kwahiyo umeacha kabisa kulima mhogo na je vp kuhusu taarifa za soko la mihogo mimi nina mashine ya kuchakata mhogo yaani zinakuwa mfumo wa chips
  2. M

    Naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha karoti

    Nahitaji kulima karoti, namna ya upandaji yaani mche na mche na msitari na msitari ni cm ngapi?
  3. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Naitaji la WhatsApp Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hilo Hilo naomba link mkuu Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  5. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Naomba link mkuu Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwenye link ya group la Mashabiki wa Chelsea la WhatsApp naomba anisaidie niwepo
  7. M

    Naomba ushauri wakulima wenzangu

    Ahsante sana kiongozi
  8. M

    Naomba ushauri wakulima wenzangu

    Aina ya mazao ni Kilimo Cha mboga mboga kwa ujumla pamoja na mazao ya nafaka. Aina ya udongo n kichanga. Chanzo Cha maji ni bwawa kubwa ambalo Lina urefu MITA 60 upana MITA 30 kina MITA 2
  9. M

    Natafuta soko la Maharage

    Sawa kiongozi
  10. M

    Naomba ushauri wakulima wenzangu

    Poa mkubwa[emoji120][emoji120]
  11. M

    Naomba ushauri wakulima wenzangu

    Maana yake drip irrigation Unaweza funga kwene shamba la ukubwa wowote pengine ata kuanzia ekari 10?
  12. M

    Naomba ushauri wakulima wenzangu

    Ni miuondo mbinu ipi mizuri ya umwagiliaji inayofaa zaidi katika Kilimo Cha umwagiliaji
  13. M

    Natafuta soko la Maharage

    Natarajia kuanza kuvuna Maharage mwezi huu nimeiona ni vema nianze kutafta soko mapema kabla ya kuanza kuvuna. Aina ya Maharage ni Uyole Njano (goroli).
Back
Top Bottom