Acheni kauli za kibaguzi!
DP World ni wawekezaji. Kuwaita waarabu ni kauli za ubaguzi.
Acheni pia upotoshaji. Hakuna bandari iliyouzwa,itakayouzwa wala ardhi aliyopewa muwekezaji.
Hivi wewe mporipori huwa unapata muda wa kuwaza na kufanya mambo yako kweli? Kila siku uko hapa kuropokaropoka vitu ambavyo havina maana na kupotosha ukweli!
Acha serikali iongoze nchi kwa weledi na kifuata standard za waliofanikiwa. Wewe ishi kwenye hizo nadharia zako za kijima.
Atakuwa ameandika yeye mwenyewe. Huyo mwinginw ni zuga tu!
Ni ujinga kabisa kudhani mnaweza kuendelea kuhadaa watanzania kwa kutumia jina la huyo dikteta wenu ambaye alikuwa ameteka akili za watanzania wasiojitambua waliokuwa wanafurahia mateso ya wenzao wasio na hatia ambao walidhurumiwa mali...
Kwani vituo vya hivi vituo vya mafuta vimejengwa kwa pesa za umma na serikali? Au ni vituo vya watu binafsi?
Wakati mwingine unapojenga hoja kuwa na mantiki!
Wewe kweli ni mzalendo uchwara! Acha watanzania wazalendo wa kweli waendelee kuweka wazi madudu ya yule kiongozi mwovu. Kama wewe unajua mazuri yake andika kitabu pia!
Mpango wa block farm ungefanikiwa kana ungehusisha wakulima wazoefu,bila ubaguzi wa umri!
Wakulima wenye uzoefu na mapenzi na kilimo ndio wanaweza kuvumilia suluba za kilimo!
Hawa wakulina wa kuchonga watamuangusha mno mh Bashe! Nia ya mh Bashe ni nzuri,lakini njia anayotumia ni mbaya!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.